*Kwa Miadi Tu Jumatatu hadi Jumamosi*
Bila kujali hadithi yako, tunakukaribisha kuungana nasi kwa vile sote tunajaribu kidogo kuwa wema, kidogo kuwa wakarimu, kidogo kuwa wenye msaada—kwa sababu hicho ndicho Yesu alichofundisha. Sisi ni jumuiya tofauti ya wafuasi wa Yesu Kristo na tunawakaribisha wote kuabudu hapa. Tunashirikiana pamoja na pia tunatoa programu za vijana na watoto.
Yesu Kristo anaweza kukufanya wewe kuwa mtu bora. Wewe unaweza kutufanya sisi kuwa jumuiya bora zaidi. Njoo, uabudu pamoja nasi. Ibada za Kanisa hufanyika kila Jumapili. Wageni daima wanakaribishwa.